Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Michael Jordan, J Cole kulamba dili nono

Untitled 1 20 1568x882 Michael Jordan, J Cole kulamba dili nono

Sat, 17 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Michael Jordan anauza hisa nyingi (majority stake) za umiliki wa Timu ya Kikapu ya Charlotte Hornets.

Jordan aliinunua Timu hiyo mwaka 2010 kwa ($275 million) na sasa anauza hisa zake kwa ($3 billion) kwa mujibu wa ESPN. MJ anauza hisa hizo kwa Kundi la watu wakiongozwa na matajiri Gabe Plotkin na Rick Schnall, vile vile Rapa J. Cole akiwa miongoni mwa ambao wanamiliki hisa nyingi kwenye timu hiyo.

Michael Jordan ndiye mtu mweusi wa kwanza kwenye historia ya NBA kumiliki timu kwa hisa nyingi.

Kwa mantiki hiyo, Jordan atabaki kuwa na hisa chache (minority stake) kwenye timu hiyo, akiondoka kwenye sehemu ya maamuzi makubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live