Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Miami Heat yatinga fainali ya NBA

Miami Heat Vgs.jpeg Miami Heat yatinga fainali ya NBA

Sat, 13 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Miami Heat imeibuka na ushindi wa alama 96-92 dhidi ya New York Knicks na kutinga fainali ya Ukanda wa Mashariki NBA kwa ushindi wa jumla ya michezo 4-2.

Miami Heat imeibuka na ushindi wa alama 96-92 dhidi ya New York Knicks na kutinga fainali ya Ukanda wa Mashariki NBA kwa ushindi wa jumla ya michezo 4-2. Miami sasa inasubiri kucheza fainali na mshindi wa mchezo kati ya Boston Celtics dhidi ya Philadelphia 76ers ambao kwa sasa upo sare 3-3 mchezo unaotaraji kuchezwa saa 4:30 Usiku Jumapili ya kesho Mei 14, 2023 kwenye dimba la Court TD Garden nyumbani kwa Boston.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live