Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Mchezaji wa Kikapu ajipiga risasi

Risasi Rwanda Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Rwanda Shyaka Jesi

Wed, 10 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa Mpira wa Kikapu wa Rwanda Shyaka Jesi, amefariki Dunia kwa kujipiga risasi akiwa nyumbani jijini Kigali.

Jesi ambaye alikuwa anaitumikia timu ya APR BBC ambapo alijiua kwa risasi baada kuiba bunduki chumbani kwa baba yake, chanzo cha kujiua kwake kikiwa bado hakijajulikana hadi kufikia sasa.

Mchezaji huyo alikuwa anaishi na wazazi wake katika mtaa wa Gasabo jijini Kigali.

Mbali ya kuitumikia APR BBC aliwahi pia kuzichezea timu za Patriots BBC na Tigers BBC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live