Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

NBA LEBRON Marekani: NBA yaondoa sheria ya kuzuia matumizi ya bangi kwa wachezaji

Sat, 1 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi unaosimamia Ligi ya Kikapu ya NBA umeboresha sera zake kuhusu matumizi ya bangi kwa kuiondoa katika kipengele cha madawa yanayozuiwa kwa wachezaji.

Hivyo, wachezaji wa NBA hawatafanyiwa vipimo kwa muda wa miaka saba kutokana na mkataba uliosainiwa na Collective Bargaining Agreement (CBA).

Mwaka 2022, nyota wa Timu ya Phoenix Suns, Kevin Durant alinukuliwa akiweka wazi kuwa alianza kuvuta bangi akiwa na umri wa miaka 22 na imemsaidia kuweka akili yake sawa na anapoitumia ni kama anakunywa mvinyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live