Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Luka Doncic wa moto huko FIBA

Luka Doncic Luka Doncic .

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa mpira wa kikapu nchini Marekani NBA kunako Klabu ya Maverick Dallas, Mslovenia Luka Doncic amemaliza hatua za makundi za michuano ya kombe la Dunia ya FIBA BASKETBALL WORLD CUP inayofanyikia nchini Japan, Ufilipino na Indonesia akiwa kinara wa ufungaji.

Doncic amekuwa na mchango mkubwa sana kwenye timu yake ya taifa ya Slovenia huku akiongoza katika michuano hiyo akiwa na wastani wa kufunga kwa kila mchezo akiwa na alama 30.1 huku akiwagalagaza Rondae Hollis Jefferson wa taifa la Jordan aliyeshika nafasi ya pili kwa alama 28.1 na Jordan Clarkson wa Ufilipino mwenye alama 24.3 katika kila mchezo.

Aidha, michuano hiyo inaendelea leo katika hatua za mtoano kwa michezo minne.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live