Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Lebron James aweka rekodi ya kibabe NBA

Lebron James Vs Memphis Lebron James

Sat, 13 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa LA Lakers, Lebron James ndiye mchezaji pekee kwa sasa kushinda michezo mingi zaidi, michezo 41 ya NBA Playoffs na kumpiku Derek Fisher mchezaji wa zamani wa Lakers aliyekuwa anaishikilia rekodi hiyo.

Nyota wa LA Lakers, Lebron James ndiye mchezaji pekee kwa sasa kushinda michezo mingi zaidi, michezo 41 ya NBA Playoffs na kumpiku Derek Fisher mchezaji wa zamani wa Lakers aliyekuwa anaishikilia rekodi hiyo. Lebron ameiweka rekodi hiyo baada ya kufunga alama 30, rebound 9 na assist 9 zilizoisaidia timu yake ya Lakers kuibuka na ushindi wa alama 122-101 dhidi ya Golden State Warriors na Lakers kutinga fainali ya Ukanda wa Magharibi kwenye NBA playoffs asubuhi ya Leo Jumamosi Mei 13, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live