Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

LeBron James apotezewa na mwanae

Skysports Bronny James Lebron 6229949 LeBron James apotezewa na mwanae

Wed, 15 May 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Bronny James ambaye ni mtoto wa nyota wa kikapu wa NBA LeBron James wa Los Angeles Lakers amesema kwa sasa fikra zake zipo kwa ajili ya kucheza kwenye ligi ya kikapu Marekani (NBA) na siyo kucheza timu moja na baba yake msimu ujao.

Bronny James ambaye ni mtoto wa nyota wa kikapu wa NBA LeBron James wa Los Angeles Lakers amesema kwa sasa fikra zake zipo kwa ajili ya kucheza kwenye ligi ya kikapu Marekani (NBA) na siyo kucheza timu moja na baba yake msimu ujao. Bronny mwenye miaka 19 amesema hajawahi kufikiria kuwaza kucheza na baba yake zaidi ya kufikiria kujiunga na NBA kupitia NBA Draft itakayoanza Juni 26-2024 huku utakuwa ni msimu wa 22 kwa nyota LeBron James kushiriki ndani ya NBA.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live