Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

LeBron James Mchezaji Bora NBA 2023

Le Bron James MVP NBA LeBron James Mchezaji Bora NBA 2023

Mon, 11 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa basketball nchini Marekani, LeBron James ametangazwa kuwa mchezaji bora (MVP) wa mashindano ya NBA ndani ya msimu (NBA in Season) usiku wa kuamkia jana.

Nyota wa basketball nchini Marekani, LeBron James ametangazwa kuwa mchezaji bora (MVP) wa mashindano ya NBA ndani ya msimu (NBA in Season) usiku wa kuamkia jana. James ametangazwa baada ya ushindi wa Los Angeles Lakers wa vikapu 123 - 209 dhidi ya Indiana Pacers mchezo uliofanya Lakers kuwa mabingwa wa kwanza wa mashindano ya NBA ndani ya msimu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live