Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Lakers wafalme wa Los Angeles Derby

LA Lakers X Clippers Lakers wafalme wa Los Angeles Derby

Thu, 29 Feb 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa kikapu NBA, Lebron James Sr. ameendelea kudhihirisha ubora wake baada ya kuisaidia timu yake ya Lakers kupata matokeo ya ushindi dhidi ya @laclippers kwenye robo ya nne ya mchezo kwa jumla ya alama 116-112.

Nyota wa kikapu NBA, Lebron James Sr. ameendelea kudhihirisha ubora wake baada ya kuisaidia timu yake ya Lakers kupata matokeo ya ushindi dhidi ya @laclippers kwenye robo ya nne ya mchezo kwa jumla ya alama 116-112. Lebron James mwenye umri wa miaka 39 ambaye ndio mfungaji bora wa muda wote @nba amefunga alama 34 huku alama 19 akizifunga kwenye robo ya nne ya mchezo wakati timu yake ikiwa nyuma kwa alama 77-98 na mwisho kuisha kwa 116-112.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live