Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Kocha achukia mchezaji wake kuzomewa

Kawhi Leonard Kocha achukia mchezaji wake kuzomewa

Thu, 23 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa @spurs Gregg Popovic leo Novemba 23, 2023 asubuhi dhidi ya @laclippers alichukua kipaza sauti cha uwanjani kwao ‘Frost Bank Center’ na kuwaambia mashabiki wake waache kumzomea nyota Kawhi Leonard na wampe heshima yake.

Kocha wa @spurs Gregg Popovic leo Novemba 23, 2023 asubuhi dhidi ya @laclippers alichukua kipaza sauti cha uwanjani kwao ‘Frost Bank Center’ na kuwaambia mashabiki wake waache kumzomea nyota Kawhi Leonard na wampe heshima yake. Mashabiki hao wa San Antonio Spurs waliumizwa sana na nyota huyo alipoamua kuondoka mwaka 2018 ambaye amewahi kuwapa ubingwa na kuwa MVP wa fainali msimu 2014 na baadaye alitimkia @raptors na kuipa ubingwa 2019.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live