Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Kocha NBA afariki Dunia

Brendan Malone 81 Brendan Malone

Wed, 11 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa miaka 81.

Habari za kusikitisha kwa wapenzi wa mpira wa vikapu, ‘kocha’ mkongwe wa NBA kutokea nchini Marekani, Brendan Malone amefariki dunia siku ya Jana akiwa na umri wa miaka 81. Malone aliwahi kusaidia kupanga Sheria za Jordan zilizotumika kuwashinda Chicago Bulls na alikuwa mfanyakazi wa ‘timu’ za Bad Boy Detroit Pistons ambazo zilishinda fainali mwaka wa 1989 na 1990.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live