Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Kim Kardashian aingia Mkataba na NBA

Kim Kardashians Contract Kim Kardashian aingia Mkataba na NBA

Mon, 30 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya mwanamitindo na mfanyabiashara Kim Kardashian kuvunja ‘rekodi’ ya bidhaa zake za SKIMS FOR MEN kwa kuagizwa na zaidi ya watu Elfu 20 ndani ya dakika 5, hatimaye mfanyabiashara huyo ameingia mkataba na NBA wa kutengeneza nguo za ndani.

Baada ya mwanamitindo na mfanyabiashara Kim Kardashian kuvunja ‘rekodi’ ya bidhaa zake za SKIMS FOR MEN kwa kuagizwa na zaidi ya watu Elfu 20 ndani ya dakika 5, hatimaye mfanyabiashara huyo ameingia mkataba na NBA wa kutengeneza nguo za ndani. Kupitia mitandao ya kijamii ya Chama cha Kikapu cha Taifa nchini Marekani (NBA) kinaeleza kuwa chapa ya SKIMS imeingia katika mkataba rasmi na NBA kwa ajili ya utengenezaji wa nguo za ndani za wachezaji.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live