Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Kevin Durant aingia kwenye rekodi NBA

Kevin Durant NBA Kevin Durant

Mon, 29 Jan 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa kikapu Ligi Kuu ya NBA, anayecheza klabu ya @suns Kevin Durant ameingia kwenye orodha ya wafungaji bora wa muda wote kwenye ligi hiyo baada ya leo Januari 29, 2024 kufunga alama 15 dhidi ya @orlandomagic na kufikisha alama 28,000.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live