Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Jezi ya Michael Jordan yauzwa kwa Mabilioni

WhatsApp Image 2023 05 29 At 03.jpeg Michael Jordan

Mon, 29 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna mtu mmoja ameondoka kwenye mnada na Jezi ya Michael Jordan ambapo imembidi alipe ($3 million) zaidi ya TSh. Bilioni 7.

Kuna mtu mmoja ameondoka kwenye mnada na Jezi ya Michael Jordan ambapo imembidi alipe ($3 million) zaidi ya TSh. Bilioni 7. Jezi hiyo maarufu ya timu ya Kikapu ya Marekani (The Dream Team) ambayo ilivaliwa na MJ mwaka 1992 kwenye michuano ya Olimpiki, imepigwa mnada juzi Alhamis.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live