Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Jezi ya Lebron yaongoza kwa mauzo NBA

Lebron Jmaes Lakers Lebron James

Sun, 16 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Shirikisho la Mpira wa Kikapu la Marekani (NBA) limeitaja Jezi namba 6 ya LeBron James kutoka Los Angeles Lakers kuongoza kwa mauzo ikifuatiwa na Jezi namba 30 ya Golden State Warriors inayovaliwa na Stephen Curry huku Boston Celtics wakiwa nafasi ya 3.

Milwaukee Bucks wako namba 4 na Jezi namba 34, Dallas Mavericks wameingiza Jezi namba 77 na 2, Phoenix Suns Jezi namba 35 na namba 1, Memphis Grizzlies namba 12, Portland Trail Blazers namba 0.

Jezi ipi unaikubali kwenye NBA? Tuachie comment yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live