Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

James Haden:Kobe ndie alienifanya nipende Basketball

James Harden Kobe Bryant James Haden:Kobe ndie alienifanya nipende Basketball

Wed, 5 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa LA Clippers James Harden akifanyiwa mahojiano na "Cyro Asseo de Choch" wa kituo cha "HoopsHype" kuhusu nani "GOAT"yani Nyota Bora wa Kikapu Ulimwenguni wa muda wote..?

Na James Harden amesema, "kwa upande wangu Mchezaji Kikapu Bora wa muda wote ni Kobe Bryant" yani namaanisha, Black Mamba ndiye aliyenifanya nipende Basketball na sio mtu mwingine hakika mwanzoni mwa miaka ya 2000 nimeshuhudia @lakers ikitwaa Mataji matatu mfululizo akiwa na Shaquille O'Neal lakini akili yangu ilikuwa kwa Kobe Bryant" - James Harden...

Aidha wadau wengi wa Kikapu Ulimwenguni wamekuwa na mjadala kuwa nani GOAT wa Kikapu na kwa idadi kubwa wamekuwa wakiwataja Michael "AIR" Jordan na Lebron James ila kwa upande wa James Harden ameamua kubakia na Kobe Bryant "Rest in Peace Black Mamba"...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live