Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Hasheem Thabeet aitwa Timu ya Taifa

Hashem Thabi The Dream Mchezaji wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet amejumuishwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya mpira wa kikapu Tanzania kitakachojiandaa na michezo ya kuwania kufuzu michuano ya FIBA AfroCAN 2023.

Mchezaji wa mpira wa kikapu, Hasheem Thabeet amejumuishwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya mpira wa kikapu Tanzania kitakachojiandaa na michezo ya kuwania kufuzu michuano ya FIBA AfroCAN 2023. Hasheem (@hasheemthedream) ni miongoni mwa wachezaji 22 walioitwa ambao wataiwakilisha nchi katika michezo hiyo itakayofanyika Jijini Dar es Salaam kuanzia Juni 17 - 23, 2023.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live