Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Hasheem Thabeet: Basketball irudishwa mashuleni

Hasheem Pic Hasheem Thabeet

Wed, 18 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuelekea mashindano ya mpira wa Kikapu barani Afrika (BAL), Hasheem Thabeet amefunguka kuhusu uamuzi wa kurejea nyumbani kushiriki katika timu ya PAZI ya mpira wa kikapu Tanzania.

Kuelekea mashindano ya mpira wa Kikapu barani Afrika (BAL), Hasheem Thabeet amefunguka kuhusu uamuzi wa kurejea nyumbani kushiriki katika timu ya PAZI ya mpira wa kikapu Tanzania. Hasheem Thabeet anaeleza moja kati ya vitu ambavyo anaamini vikifanyika vitasaidia kukuza mchezo wa Basketball nchini Tanzania ni pamoja na kurejesha mchezo huo mashuleni.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live