Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Golden State Warriors watinga Ikulu ya Marekani

Warriors Biden White House Gty Mz 19 230117 1673987301242 HpMain 16x9 1600 Wachezaji wa Golden State Warriors wakiwa na Rais Biden

Wed, 18 Jan 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota wa Timu ya Mpira wa Kikapu ya Golden State Warriors wanaoshiriki Ligi ya NBA wametembelea Ikulu ya Marekani (White House) na kukutana na Rais wa Marekani Joe Biden, jana Jumanne.

Warriors wameshinda mataji manne ya NBA ndani ya miaka 8 lakini hawakuwahi kutembelea White House kipindi Donald Trump ni Rais wa nchi hiyo.

Trump aliwahi kutamka hadharani kuwa hatawaalika Warriors kufuatia Steph Curry ambaye ni nyota wa timu hiyo, kusema hawezi kukanyaga sehemu hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live