Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Fat Joe: Tunampenda Lebron ila 'MJ' ni bora kwa muda wote

MJ VS LEBRON Fat Joe: Tunampenda Lebron ila 'MJ' ni bora kwa muda wote

Tue, 21 Feb 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fat Joe ameipeleka Kura yake kwa Michael Jordan kwenye mjadala wa nani GOAT kati yake na LeBron James.

Fat Joe ameipeleka Kura yake kwa Michael Jordan kwenye mjadala wa nani GOAT kati yake na LeBron James. “MJ ni mkali wa muda wote (GOAT), Tunampenda LeBron, ni mkubwa kwa wakati huu. Kiukweli tunamhusudu LeBron, tunampenda kufa, lakini MJ ni GOAT.” alisema Fat Joe kwenye mahojiano na Complex.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live