Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Fainali za NBA In-Season Tournament kupigwa T-Mobile Arena

Arena Exterior T Mobile Arena 1 Fainali za NBA In-Season Tournament kupigwa T-Mobile Arena

Thu, 7 Dec 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ukumbi wa T-Mobile Arena uliopo Las Vegas ndio uta-host Fainali za michuano mpya ya NBA In-Season Tournament inayofanyika kwa mara kwa kwanza kabisa huku timu zitakazomenyana zikifanya mazoezi siku ya Jumatano.

Nusu fainali itafanyika Alhamisi kuamkia Ijumaa, Indiana Pacers wakimenyana na Milwaukee Bucks kabla ya New Orleans Pelicans kumenyana na Los Angeles Lakers – na washindi wa mechi hizo watakutana Jumamosi kuamkia Jumapili katika Fainali katika michuano hiyo yenye fedha nyingi kwa washindi.

Wachezaji wote wa timu zilizofika Nusu Fainali ambao wana mikataba watapata $100,000 USD na wale wenye mikataba maalum watapata nusu yake kila mmoja. Wkifika Fainali dau litapanda hadi $200,000 na $500,000 kila mmoja kwa timu itakayotwaa taji hilo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live