Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Fainali Mchezo wa Kikapu kuanza Ijumaa hii

PostQueueImg 7 6304fec4184ef Fainali Mchezo wa Kikapu kuanza Ijumaa hii

Wed, 20 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Fainali za ligi ya mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam BD LEAGUE 2023 zinatarajiwa kuanza kutimua vumbi ijumaa ya Septemba 23, 2023 kwa kuwakutanisha JKT dhidi Dar City na kwa upande wa wanawake ni VBQ dhidi ya Jkt Stars.

Kwa upande wa timu za wanaume JKT ilitinga fainali kwa kuipiga Fagio Pazi huku Dar City nayo kuisafisha ABC lakini kwa upande wa timu za wanawake VBQ nao walisafisha vumbi dhidi ya Mchenga Queens wakati JKT Stars nao waliwaosha Polisi Queens.

Fainali zinatabiriwa kuwa na ushindani mkubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live