Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Dimpoz aiomba Serikali ijenge uwanja wa basketball

Dimpoz Po Dimpoz aiomba Serikali ijenge uwanja wa basketball

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameiomba serikali kujenga uwanja wa basketball kama ilivyo kwenye nchi zingine, kauli hiyo ameitoa jana kwenye mchezo wa fainali kati ya Dar City dhidi ya JKT.

Msanii wa Bongo Fleva Ommy Dimpoz ameiomba serikali kujenga uwanja wa basketball kama ilivyo kwenye nchi zingine, kauli hiyo ameitoa jana kwenye mchezo wa fainali kati ya Dar City dhidi ya JKT. "Huko nyuma ilikuwa tofauti mara nyingi ukija kwenye basketball ulikuwa unakuta wanaume wengi lakini leo unaona watoto wazuri walivyo jaa, kwa hiyo hamasa iendelee napia naomba serekali ifanyie kazi tupate uwanja mzuri wa basket Wala Kama wenzetu Rwanda."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live