Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Dar City Mabingwa wapya Ligi ya Kikapu 2023

Dar City BBA Dar City Mabingwa wapya Ligi ya Kikapu 2023

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Ligi ya mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam BD LEAGUE 2023 imetamatika kwa @darcitybasketball upande wa ligi ya wanaume kuibuka mabingwa wapya, huku VBQ @vbcbasketball kuwa mabingwa kwa upande wa ligi ya wanawake ikiwa ni mara ya pili mfululizo.

Ligi ya mpira wa kikapu Mkoa wa Dar es Salaam BD LEAGUE 2023 imetamatika kwa @darcitybasketball upande wa ligi ya wanaume kuibuka mabingwa wapya, huku VBQ @vbcbasketball kuwa mabingwa kwa upande wa ligi ya wanawake ikiwa ni mara ya pili mfululizo. Nyota @tyrone_edward96 wa @outsidersbasketball ameibuka MVP wa msimu huku @vegan.auntie wa @mchengaqueens MVP kwa upande wa ligi ya wanawake wa msimu, lakini @officialpg_ally wa @darcitybasketball ameibuka MVP wa fainali kwa wanaume wakati @tee_ndossi11 wa VBQ kwa wanawake ameibuka MVP wa fainali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live