Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Damian Lillard awasha mitambo Bucks

Bucks Damian Lillard

Fri, 27 Oct 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Nyota mpya wa @bucks"The long range shooter" Damian Lillard ameanza kuuwasha moto wake akiwa na klabu yake mpya baada ya kuisaidia timu yake kupata ushindi kwa kufunga mchomo muhimu ulioipa jumla ya alama 118-117 dhidi @sixers katika ligi ya @nba

Nyota mpya wa @bucks"The long range shooter" Damian Lillard ameanza kuuwasha moto wake akiwa na klabu yake mpya baada ya kuisaidia timu yake kupata ushindi kwa kufunga mchomo muhimu ulioipa jumla ya alama 118-117 dhidi @sixers katika ligi ya @nba Nyota huyo aliyesajiliwa kutoka Portland ameanza vyema majukumu yake kwa kufunga alama 39, rebounds 8 huku akifunga three points 4 na kuweka matumaini kwa nyota wa timu hiyo "The Greek Freek" Giannis Antetokounmpo ya kupata mshirika mwenye ushindani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live