Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

MenuMichezo
Mpira wa Kikapu

Celtics mabingwa wapya wa NBA 2024

Celtics Mabingwa Wapya Wa NBA 2024 Celtics mabingwa wapya wa NBA 2024

Tue, 18 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Boston Celtics wameibuka mabingwa wa NBA wa 2024, Celtics wametwaa taji hilo na kuweka rekodi ya kushinda mataji 18 katika historia ya NBA.

Celtics ilishinda michezo 64 katika msimu wa kawaida na kisha kwenda 16-3 katika mechi ya mtoano, na kushinda mchezo huo kwa kuwaondoa Mavericks, 4-1, katika Fainali za NBA za 2024.

Taji hilo linakuja miaka 16 haswa baada ya ubingwa wa mwisho wa Celtics, ambao walishinda mnamo Juni 17, 2008. Mabingwa hao wamevunja rekodi iliyokuwa inaashikiliwa na Los Angles Lakers waliokuwa na mataji 17.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live