Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Yaliyojiri tamasha la Drake L.A

Drake Yaliyojiri tamasha la Drake L.A

Tue, 15 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kurusha Bra’s jukwaani wakati wa matamasha ya Drake kumeenea kwenye mitandao ya kijamii, lakini wakati wa ziara yake mjini Los Angeles rapper huyo alibadili mambo kidogo na kuwaambia mashabiki wasirushe sidiria zao jukwaani.

“Haya sikiliza. Siwezi kuongelea bra’s usiku wa leo hapa LA kwa sababu mwanangu yuko kwenye show kwa mara ya kwanza kabisa,hivyo tafadhali weka sidiria zako usiwe unazitupa hapa au chochote.” aliandika kwenye insta story yake.

Awali mtoto wake Adonis alikuwa kwenye jengo hilo na Drake hata akamwimbia moja ya nyimbo zake wakati wa onyesho hilo.

Watu wengi kwenye mitandao ya kijamii wanamchukulia nyota huyo kama “baba wa mwaka baada ya tukio hilo”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live