Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Video hii ya Moni yafutwa Youtube

Monicentrozone (600 X 407) Video hii ya Moni yafutwa Youtube

Tue, 26 Mar 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Video ya Maelekezo chapter 3 ya rapa imefutwa leo kwenye mtandao wa YouTube.

Youtube wamemuandikia email msanii huyo kuwa walipokea ombi la kuondolewa kwa hakimiliki kwa video msanii Moni Centrozon Kulingana na sheria ya hakimiliki inayotumika.

Taarifa hiyo ameitoa rapa Moni Wa Centrozon mwenye kupitia ukurasa wake wa Instagram pale kwenye Instastory na ameweka tu Screeshot ya taarifa hiyo ya Youtube bila kuandika maelezo yake binafsi yoyote hivyo hatujui ni nani aliepeleka malalamiko Youtube mpaka kupelekea wimbo huo kufutwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live