Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Temba awapa mbinu wasanii Wakongwe

Mh Temba Temba awapa mbinu wasanii Wakongwe

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mwanamuziki mkongwe nchini Mhe. Temba ambaye alitamba kupitia kundi la TMK family, amewataka wasanii wa zamani ambao wanataka kurudi kwenye game ya muziki wafate upepo wa muziki wa sasa.

Mwanamuziki mkongwe nchini Mhe. Temba ambaye alitamba kupitia kundi la TMK family, amewataka wasanii wa zamani ambao wanataka kurudi kwenye game ya muziki wafate upepo wa muziki wa sasa. Temba amesema kuwa muziki unaelimisha na kuburudisha kwa hiyo ni uamuzi wa mwanamuziki kuelimusha au kuimba vitu visivyo elimisha, akaongezea kwa kusema kuwa muziki umebadilika hivyo wasanii wa zamani hawana budi kubadilika pia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live