Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards2022: S2Kizzy na Abbah maprodyuza bora wa mwaka

Abbah S2kizzy.jpeg Abbah Process na S2kizzy

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Wakati @masterjtz anamtangaza Producer @s2kizzy kama Producer bora wa HipHop wa mwaka Tanzania Music Awards amesema S2Kizzy ametengeneza Hits nyingi sana na amestahili kushinda.

Mtayarishaji bora wa muziki wa bongo fleva kwa mwaka 2022 @abbah_process ambaye amehusika katika ngoma kibao za bongo fleva mwaka jana ameshinda tuzo ya producer bora wa mwaka wa Bongo Fleva.

#TanzaniaMusicAwards #TMA

Chanzo: www.tanzaniaweb.live