Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards2022: Pita Huku ya Dulla Makabila wimbo bora wa singeli wa mwaka

IMG 20230430 WA0001 Makabila Dulla Makabila

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Mkali wa Singeli @dullamakabila ameshinda tuzo mbili za #TMA2022 ambazo ni msanii bora wa kiume wa singeli wa mwaka pamoja na wimbo bora wa singeli wa mwaka kupitia wimbo wa ''Pita Huku''.

Hit maker huo wa ngoma ya ''Pita Huku'' na ngoma nyingine kali, ameshinda tuzo ya mwimbaji bora wa muziki wa singeli wa mwaka katika Tuzo za Muziki za Tanzania.

#DullaMakabila #PitaHuku #Singeli #TMA2022 #TanzaniaMusicAwards.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live