Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards2022: Nitongoze ya Rayvanny na Diamond kolabo bora ya mwaka

Rayvanny Diamond As Rayvanny na Diamond

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Tuzo ya wimbo bora wa kushirikiana tuzo za Tanzania Music Awards ni ngoma ya Nitongoze ya @rayvanny na @diamondplatnumz.

#TanzaniaMusicAwards #DiamondPlatnumz #Rayvanny #WCB

Chanzo: www.tanzaniaweb.live