Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards2022: Diamond msanii wa chaguo la watu

Diamond Oliver Diamond Platnumz

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam. Tuzo ya mwanamziki bora wa kiume chaguo la watu katika jukwaa la kidigitali imeenda kwa @diamondplatnumz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live