Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards2022: Costa Titch msanii bora wa mwaka nje ya Tanzania

Costa Titch Ghh.jpeg Costa Titch

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Tuzo ya Mwanamziki Bora nje ya Tanzania kwenye usiku huu wa Tuzo za Muziki kwa Mwaka 2022 imeenda kwa Hayati Rapa Costantinos Tsobanoglou (Costa Titch).

Ikumbukwe kuwa, Costa Titch aliyefariki wa dunia akitumbuiza jukwaani mwezi uliopita, amewahi kufanya kazi na baadhi ya wasanii wa Bongo akiwemo Diamond na Mbosso.

#TanzaniaMusicAwards #TMA

Chanzo: www.tanzaniaweb.live