Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards2022: Ally B DJ bora wa mwaka

Ally B DJ Ally B

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Nasemajeee @djallybi ndiyo DJ bora wa mwaka katika Tuzo za Muziki za Tanzania, Mzee wa maneno kidogo pesa mingii.

#DJAllyB #TMA2022 #TanzaniaMusicAwards.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live