Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Zuchu akomba tuzo tano usiku huu

Zuchu Kudhalilishwa #TMAAwards: Zuchu msanii bora wa kike wa mwaka

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Zuchu ameshinda Tuzo ya Msanii Bora Wa Kike Wa Mwaka, Video Bora Ya Mwaka (#Mwambieni), Mwimbaji Bora Wa Kike Wa Bongofleva, Wimbo Bora Wa Bongofleva (#Kwikwi) na Mwanamuziki Bora Wa Kike Chaguo La Watu Kidigitali

Aidha, Rais wa 'lebo' hiyo, #DiamondPlatnumz, ameshinda tuzo 2, (Msanii Bora wa Kiume, chaguo la mtandao pamoja na 'kolabo' bora akiwa na RayVanny), huku #Mbosso ameshinda tuzo ya Msanii bora wa Kiume.

#TanzaniaMusicAwards #TMA2022

Chanzo: www.tanzaniaweb.live