Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Love Sound Different ya Barnaba albam bora ya mwaka

Barnaba Atamba Kuwa Ndiye Msanii Anayepiga Pamba Zaidi Barnaba

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam. Love Sound Different Album ya Mopao @barnabaclassic imechukua tuzo ya Tanzania Music Awards kipengele cha Album bora ya mwaka 2022.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live