Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Harmonize msanii bora wa kiume wa mwaka

HARMONIZE TATTOO YA KAJALA Harmonize

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam. Tuzo ya mwisho kutolewa usiku wa leo ni kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka 2022 tuzo za Tanzania Music Awards ambayo imekwenda kwa Konde Boy @harmonize_tz.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live