Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Billnas msanii bora wa kiume wa hip hop wa mwaka

BILLNASS NA MWANAYE Billnass

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam. Rapa @billnass Nenga Mafioso amebeba tuzo ya msanii bora wa kiume wa hip hop mwaka 2022 akiwapiga chini wasanii wengine kama Joh Makini, Fid Q, Country Wizzy na Kala Jeremiah.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live