Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMAAwards: Angel Nyigu dansa bora wa mwaka

Nyigu A0000 #TMAAwards: Angel Nyigu dansa bora wa mwaka

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijiniDaresSalaam.

Tuzo ya Mchezaji Bora wa Muziki wa Dansi wa Kike wa Mwaka imeenda kwa @angelnyigu.

Aidha, @chino_kidd7 amehinda tuzo ya Mchezaji Bora wa Muziki wa Dansi wa Kiume wa Mwaka.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live