Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#TMA2022: Phina mtumbuizaji bora wa kike wa mwaka

Phina 2).jpeg Phina

Sun, 30 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.

Msanii wa BongoFleva @phina__tz ameshinda tuzo ya mtumbuizaji bora wa mwaka tuzo za Tanzania Music Awards akiwashinda wasanii kama @officialzuchu na @luludivatz

Hii inakuwa tuzo yake ya pili kushinda tuzo hii ya mtumbuizaji bora wa kike Tanzania.

#TanzaniaMusicAwards #Phina.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live