Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rotimi azidi kujinoa na Kiswahili

Rotimi Azidi Kujinoa Na Kiswahili Rotimi azidi kujinoa na Kiswahili

Mon, 6 Nov 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa Muziki na Filamu mwenye Asili ya Nigeria na Marekani #Rotimi na Mpenzi wa Staa #VanessaMdee ameendelea kuonesha jitihada zake za kujua Lugha ya kiswahili. . Baada ya staa #JacklineWolper kushare video akiwa na watoto wake wawili #VeeMoney na Mpenzi wake #Rotimi walimpa pongezi huku #Rotimi akifunguka kuwa Mwaka huu amejifunza mambo mbalimbali ya kiswahili.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live