Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Roma: Hajawahi kutokea kama Ngweah

Ngweah Gs Roma: Hajawahi kutokea kama Ngweah

Wed, 28 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa HipHop @roma_zimbabwe amefunguka kuwa tafiti zake zimeonesha kuwa marehemu Albert Mangwea alikuwa anapendwa na wasanii wenzake wote hasa wa kizazi cha sasa.

Msanii wa HipHop @roma_zimbabwe amefunguka kuwa tafiti zake zimeonesha kuwa marehemu Albert Mangwea alikuwa anapendwa na wasanii wenzake wote hasa wa kizazi cha sasa. "Tafiti yangu inaniambia Albert ndio msanii aliyekuwa anapendwa na wasanii wenzake wote, sio hata kwa ubora wake No basi tu nadhani life style yake na pengine hajatokea msanii mwingine mwenye hiyo Karama especially kizazi cha sasa" - ameeleza Roma.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live