Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Rasmi: Timeless ya Davido hii hapa, Alikiba hayumo

Davido Timeless Fg Timeless ya Davido

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Staa wa muziki kutoka Nigeria, David Adedeji Adeleke 'Davido', rasmi ameachia Album yake mpya ya #TIMELESS baada ya kukaa kimya kwa muda.

Ndani ya Album hiyo yenye ngoma 17, mastaa kama #Asake #Focalist #Musakeys #Skepta na wasanii wake wawili wa lebo ya #DMW #Morravey na #LogosOlori na wengine wamehusika.

Ali Kiba ambaye alikuwa anatajwa kuwa huenda angetokea kwenye album hiyo, baada ya fake album Cover kuenezwa mitandaoni, sasa hayumo kwenye orodha ya wasanii waliokiwasha kwenye album.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live