Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Producer wa 'Upo Nyoyo' awavaa BASATA

SQDF Kutoka kushoto ni Producer Nusda, Phina na Aloneym

Fri, 14 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Producer wa ngoma ya msanii Saraphina 'Phina', #UpoNyonyo aitwaye @aloneym1 amesema kuwa yeye ndio aliyetengeneza wimbo huo na sio producer @nusdervenom kama ilivyowekwa na Basata kwenye Tuzo za TMA.

Hata hivyo, waandaaji wa Tuzo za TMA wamesharekebisha kipengele hiko na kuweka Jina la @aloneym1.

Akizungumzia hilo, @aloneym1 amesema kuwa hajawahi kukutana na Nusda lakini amesekia kazi zake mbalimbali na kukiri kuwa ni prodyuza mkali.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live