Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Nani anafaa kunyakua Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka TMA 2023

HARMO NYIEEE Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka TMA 2023

Tue, 11 Apr 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna nyimbo nyingi kali zilizoachiwa na wasanii maarufu Tanzania Mwaka 2022 lakini ili kupata wimbo uliofanya vizuri zaidi ambao Unastahili kupewa Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka 2022 kutoka TANZANIA MUSIC AWARDS (TMA) inayosimamiwa na Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA).

Ni Nyimbo tano tu zipo kwenye michuano na wasanii wote ni maarufu na wanafanya vizuri mpaka sasa.

Nyimbo zilizochaguliwa kuwania Tuzo ya Wimbo bora wa mwaka 2022 katika Tuzo za Muziki za Tanzania #TMA2022 ni:-

???? Pita Huku - Dulla Makabila ???? Nitaubeba - Harmonize ???? Nakupenda - Jay Melody ???? Kwikwi - Zuchu ???? Mwamba - Rayvanny Ni wimbo gani unadhani unastahili kutwaa tuzo hiyo?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live