Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Msanii wa Mama Kanumba aachia 'Nitayainua macho yangu'

FB IMG 1683347310801 Msanii wa Mama Kanumba aachia 'Nitayainua macho yangu'

Sat, 6 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefahamika kama 'Lugo B' na anaye simamiwa na Frola Mtegoa maarufu kama mama Kanumba, amezindua wimbo wake mpya unaoitwa 'Nitayainua macho yangu' ambao ni remix ya wimbo wa marehemu Steven Kanumba.

Msanii wa Muziki wa kizazi kipya anayefahamika kama 'Lugo B' na anaye simamiwa na Frola Mtegoa maarufu kama mama Kanumba, amezindua wimbo wake mpya unaoitwa 'Nitayainua macho yangu' ambao ni remix ya wimbo wa marehemu Steven Kanumba. Akizungumza na Wanahabari, mama Kanumba amewaomba mashabiki zake wamsapoti mjukuu wake Lugobe (Lugo B) ili aweze kutimiza malengo yake.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live