Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mkosi! Video ya Diamond na Jux "Enjoy" yafutika

Mondi Na Jux Modi na Jux

Wed, 26 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

CEO wa Lebo ya WCB Diamond Platnumz ameweka wazi kufutika kwa material Ya Video Ya wimbo pendwa kwa sasa nchini "Enjoy" alioimba na Juma Jux.

Kutokana na janga hilo Diamond amesema wata-Shoot tena upya na itatoka Jumapili ya wiki hii.

Watu wengi walikuwa wakiisubiri kwa hamu Video ya wimbo huo ambao unafanya vyema katika Platform mbalimbali za muziki.

Je una lipi la kusema kwa Mondi na Jux? Tupia Comment yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live