Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mirabaha ya wasanii kutolewa leo

Kiba Mirabahas Mirabaha ya wasanii kutolewa leo.

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Meneja usajili na kumbukumbu wa @cosotatanzania Philemone Kilaka, hivi karibuni alithibitisha kuwa COSOTA itatoa stahiki kwa kila msanii anayestahili kupata mirabaha ya mwaka 2022.

Meneja usajili na kumbukumbu wa @cosotatanzania Philemone Kilaka, hivi karibuni alithibitisha kuwa COSOTA itatoa stahiki kwa kila msanii anayestahili kupata mirabaha ya mwaka 2022. Waziri wa utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Dkt. Pindi Chana anatarajiwa kuwepo kama mgeni rasmi katika zoezi la ugawaji wa mirabaha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live