Burudani

Habari

Michezo

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Mimi ni Nani ya Roma hewani muda wowote

Mimi Ni Nani Ya Roma Mimi ni Nani ya Roma hewani muda wowote

Thu, 15 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rapa Roma Mkatoliki Tayari ametoa tamko Kuhusu ujio wa ngoma yake nyingine inayoitwa "Mimi ni Nani?".

Roma alitujuza kuwa kabla ya kuachia Album ambayo ina jina la "NIPENI MAUA YANGU" atatoa kwanza ngoma ya pili huku ngoma ya kwanya ikiwa tayari imetoka!

Hivyo kwa sasa ngoma inayotarajiwa kutoka itakuwa ni ngoma ya pili kati ya ngoma ambazo zitakuwa kwenye tracklist yake.

Roma anasema; "Kama una roho nyepesi sikushauri uusikilize huu wimbo."

Chanzo: www.tanzaniaweb.live